Orodha ya makampuni ya kilimo cha mazao ya chakula nchini Tanzania na Gine-Bisau ili kukuza biashara yako

Neema Nkini


Anwani
Kisutu Sokoni
P.O. BOX 20950
ILALA

P.O. BOX 20950
Description

Ninauza aina zote za nafaka mfano: mchele, unga wa ugali, maharagwe, kunde, choroko, ngano , lishe , soya, uwele, mtama n.k, vilevile, mafuta ya kupikia, olive oil, spanish, n.k. viungo vya chakula na chai mfano, iriki, kahawa, chai n.k. Mbegu za maboga pamoja na asali.

Ukadiriaji

Bado hakuna uhakiki.

Chapisha maoni yako

Tuma Ujumbe